Kutoka 20:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Usilitaje bure jina la BWANA, Mungu wako, maana BWANA hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 “Usilitaje bure jina langu mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako. Maana mimi Mwenyezi-Mungu sitaacha kumwadhibu anayetumia jina langu vibaya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 “Usilitaje bure jina langu mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako. Maana mimi Mwenyezi-Mungu sitaacha kumwadhibu anayetumia jina langu vibaya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 “Usilitaje bure jina langu mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako. Maana mimi Mwenyezi-Mungu sitaacha kumwadhibu anayetumia jina langu vibaya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Usilitaje bure jina la Mwenyezi Mungu, Mungu wako, kwa kuwa Mwenyezi Mungu hataacha kumhesabia hatia yeye alitajaye jina lake bure. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Usilitaje bure jina la bwana Mwenyezi Mungu wako, kwa kuwa bwana hataacha kumhesabia hatia yeye alitajaye jina lake bure. Tazama sura |