Kutoka 20:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na BWANA, Mungu wako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 “Waheshimu baba yako na mama yako, ili uishi maisha marefu katika nchi ninayokupa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 “Waheshimu baba yako na mama yako, ili uishi maisha marefu katika nchi ninayokupa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 “Waheshimu baba yako na mama yako, ili uishi maisha marefu katika nchi ninayokupa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Waheshimu baba yako na mama yako, ili upate kuishi siku nyingi katika nchi anayokupa Mwenyezi Mungu, Mungu wako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Waheshimu baba yako na mama yako, ili upate kuishi siku nyingi katika nchi anayokupa bwana Mwenyezi Mungu wako. Tazama sura |