Kutoka 2:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Huyo akamzalia mtoto wa kiume, akamwita jina lake Gershomu, maana alisema, Nimekuwa mgeni katika nchi ya ugeni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Zipora akamzalia mtoto wa kiume. Mose akasema, “Nimekimbilia katika nchi ya kigeni”, kwa hiyo akampa huyo mtoto jina Gershomu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Zipora akamzalia mtoto wa kiume. Mose akasema, “Nimekimbilia katika nchi ya kigeni”, kwa hiyo akampa huyo mtoto jina Gershomu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Zipora akamzalia mtoto wa kiume. Mose akasema, “Nimekimbilia katika nchi ya kigeni”, kwa hiyo akampa huyo mtoto jina Gershomu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Sipora alizaa mtoto wa kiume, naye Musa akamwita jina Gershomu, akisema, “Nimekuwa mgeni katika nchi ya kigeni.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Sipora alizaa mtoto wa kiume, naye Musa akamwita Gershomu, akisema, “Nimekuwa mgeni katika nchi ya kigeni.” Tazama sura |