Kutoka 2:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Musa akawa radhi kukaa kwake mtu yule, naye akampa Musa binti yake, Sipora. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Mose akakubali kukaa kwa huyo mtu. Basi, huyo mtu akampa Mose binti yake aitwaye Zipora awe mke wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Mose akakubali kukaa kwa huyo mtu. Basi, huyo mtu akampa Mose binti yake aitwaye Zipora awe mke wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Mose akakubali kukaa kwa huyo mtu. Basi, huyo mtu akampa Mose binti yake aitwaye Zipora awe mke wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Musa akakubali kukaa kwa huyo mtu, ambaye alimpa Musa binti yake aliyeitwa Sipora amwoe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Musa akakubali kukaa kwa huyo mtu, ambaye alimpa Musa binti yake aliyeitwa Sipora amwoe. Tazama sura |