Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 2:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 Wachungaji wakaja wakawafukuza; lakini Musa akasimama, akawasaidia, akalinywesha kundi lao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Wachungaji wengine wakaja na kuwafukuza hao binti. Lakini Mose akawasaidia binti hao na kuwanywesha wanyama wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Wachungaji wengine wakaja na kuwafukuza hao binti. Lakini Mose akawasaidia binti hao na kuwanywesha wanyama wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Wachungaji wengine wakaja na kuwafukuza hao binti. Lakini Mose akawasaidia binti hao na kuwanywesha wanyama wao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Baadhi ya wachungaji wakaja wakawafukuza hao wasichana. Ndipo Musa akainuka, akawasaidia kunywesha mifugo yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Baadhi ya wachungaji wakaja wakawafukuza hao wasichana. Ndipo Musa akainuka, akawasaidia na kunywesha mifugo yao.

Tazama sura Nakili




Kutoka 2:17
5 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha Abrahamu akamlaumu Abimeleki kwa sababu ya kisima cha maji ambacho watumishi wa Abimeleki wamemnyang'anya.


Ikawa Yakobo alipomwona Raheli binti Labani, ndugu wa mamaye, na kondoo wa Labani, ndugu wa mamaye, Yakobo akakaribia, na kulibingirisha lile jiwe litoke katika kinywa cha kisima, akawanywesha kondoo wa Labani, ndugu wa mamaye.


Makundi yote hukusanyika huko, watu wakabingirisha hilo jiwe katika kinywa cha kisima wakawanywesha kondoo, na kulirudisha jiwe juu ya kinywa cha kisima mahali pake.


Basi akatazama huku na huko, na alipoona ya kuwa hapakuwapo mtu, akampiga na kumwua Mmisri yule, akamfukia mchangani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo