Kutoka 2:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Mtu mmoja wa nyumba ya Lawi akaenda akaoa binti mmoja wa Lawi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Kulikuwa na mtu mmoja wa ukoo wa Walawi aliyemwoa mwanamke mmoja ambaye pia alikuwa wa ukoo wa Walawi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Kulikuwa na mtu mmoja wa ukoo wa Walawi aliyemwoa mwanamke mmoja ambaye pia alikuwa wa ukoo wa Walawi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Kulikuwa na mtu mmoja wa ukoo wa Walawi aliyemwoa mwanamke mmoja ambaye pia alikuwa wa ukoo wa Walawi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Basi mtu mmoja wa nyumba ya Lawi akaoa mwanamke Mlawi, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Basi mtu mmoja wa nyumba ya Lawi akaoa mwanamke Mlawi, Tazama sura |