Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 19:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

7 Musa akaenda akawaita wazee wa watu, akawafunulia maneno hayo yote, BWANA aliyokuwa amemwagiza.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Basi, Mose akarudi, akawakusanya pamoja wazee wa Waisraeli na kuwaambia maneno hayo aliyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Basi, Mose akarudi, akawakusanya pamoja wazee wa Waisraeli na kuwaambia maneno hayo aliyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Basi, Mose akarudi, akawakusanya pamoja wazee wa Waisraeli na kuwaambia maneno hayo aliyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Kwa hiyo Musa akarudi, akawaita wazee wa watu na kuwaambia maneno yote ambayo Mwenyezi Mungu alikuwa amemwamuru ayaseme.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Kwa hiyo Musa akarudi, akawaita wazee wa watu na kuwaambia maneno yote ambayo bwana alikuwa amemwamuru ayaseme.

Tazama sura Nakili




Kutoka 19:7
4 Marejeleo ya Msalaba  

Nenda, ukawakusanye wazee wa Israeli pamoja, ukawaambie, BWANA, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, amenitokea, akaniambia, Hakika nimewajilieni, tena nimeyaona mnayotendewa huko Misri;


Musa akamwambia Haruni hayo maneno yote ya BWANA ambayo alimtuma aende nayo, na ishara hizo zote alizomwagiza.


Basi, ndugu zangu, nawaarifu ile Injili niliyowahubiria; ambayo ndiyo mliyoipokea, na katika hiyo mnasimama,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo