Kutoka 19:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Makuhani nao, wamkaribiao BWANA, na wajitakase, BWANA asije akawakasirikia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Hata makuhani ambao hunikaribia wanapaswa kujitakasa; la sivyo nitawaadhibu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Hata makuhani ambao hunikaribia wanapaswa kujitakasa; la sivyo nitawaadhibu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Hata makuhani ambao hunikaribia wanapaswa kujitakasa; la sivyo nitawaadhibu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Hata makuhani, watakaomkaribia Mwenyezi Mungu ni lazima wajiweke wakfu, la sivyo Mwenyezi Mungu atawaadhibu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Hata makuhani, watakaomkaribia bwana ni lazima wajiweke wakfu, la sivyo bwana atawaadhibu.” Tazama sura |