Kutoka 19:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Nao walipokuwa wameondoka Refidimu na kufika jangwa la Sinai, wakatua katika lile jangwa; Israeli wakapiga kambi huko wakiukabili mlima. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Walipoondoka Refidimu na kufika jangwa la Sinai, huko walipiga kambi mbele ya mlima Sinai. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Walipoondoka Refidimu na kufika jangwa la Sinai, huko walipiga kambi mbele ya mlima Sinai. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Walipoondoka Refidimu na kufika jangwa la Sinai, huko walipiga kambi mbele ya mlima Sinai. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Baada ya kuondoka Refidimu, waliingia katika Jangwa la Sinai na Israeli wakapiga kambi pale jangwani mbele ya mlima. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Baada ya kuondoka Refidimu, waliingia katika Jangwa la Sinai na Israeli wakapiga kambi pale jangwani mbele ya mlima. Tazama sura |