Kutoka 19:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Na hapo sauti ya baragumu ilipozidi kulia sana, Musa akanena, naye Mungu akamwitikia kwa sauti. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Sauti ya mbiu ilizidi kuongezeka, na Mose akaongea na Mungu. Mungu naye akamjibu katika ngurumo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Sauti ya mbiu ilizidi kuongezeka, na Mose akaongea na Mungu. Mungu naye akamjibu katika ngurumo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Sauti ya mbiu ilizidi kuongezeka, na Mose akaongea na Mungu. Mungu naye akamjibu katika ngurumo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 nayo sauti ya tarumbeta ikawa kubwa zaidi na zaidi. Kisha Musa akazungumza, nayo sauti ya Mungu ikamjibu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 nayo sauti ya tarumbeta ikawa kubwa zaidi na zaidi. Kisha Musa akazungumza na sauti ya bwana ikamjibu. Tazama sura |