Kutoka 19:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Musa akawatoa hao watu katika kituo, akawaleta ili waonane na Mungu; wakasimama pande za chini za kile kilima. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Kisha Mose akawaongoza watu wote kutoka kambini, wakaenda kukutana na Mungu. Wote walikwenda wakajipanga chini ya mlima. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Kisha Mose akawaongoza watu wote kutoka kambini, wakaenda kukutana na Mungu. Wote walikwenda wakajipanga chini ya mlima. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Kisha Mose akawaongoza watu wote kutoka kambini, wakaenda kukutana na Mungu. Wote walikwenda wakajipanga chini ya mlima. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Kisha Musa akawaongoza watu kutoka kambini kukutana na Mungu, nao wakasimama chini ya mlima. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Kisha Musa akawaongoza watu kutoka kambini kukutana na Mungu, nao wakasimama chini ya mlima. Tazama sura |