Kutoka 19:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 wawe tayari kwa siku ya tatu; maana siku ya tatu BWANA atashuka katika mlima wa Sinai machoni pa watu hawa wote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 wawe tayari kwa kesho kutwa, maana siku hiyo ya tatu mimi Mwenyezi-Mungu nitashuka juu ya mlima Sinai mbele ya watu wote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 wawe tayari kwa kesho kutwa, maana siku hiyo ya tatu mimi Mwenyezi-Mungu nitashuka juu ya mlima Sinai mbele ya watu wote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 wawe tayari kwa kesho kutwa, maana siku hiyo ya tatu mimi Mwenyezi-Mungu nitashuka juu ya mlima Sinai mbele ya watu wote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 na wawe tayari siku ya tatu, kwa sababu siku hiyo, Mwenyezi Mungu atashuka juu ya Mlima Sinai machoni pa watu wote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 na wawe tayari siku ya tatu, kwa sababu siku hiyo, bwana atashuka juu ya mlima Sinai machoni pa watu wote. Tazama sura |