Kutoka 18:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 naye akamwambia Musa, Mimi Yethro mkweo nimekuja kwako, na mkeo, na wanawe wawili pamoja naye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Mose alipoambiwa kuwa baba mkwe wake pamoja na mkewe na wanawe wawili wanakuja, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Mose alipoambiwa kuwa baba mkwe wake pamoja na mkewe na wanawe wawili wanakuja, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Mose alipoambiwa kuwa baba mkwe wake pamoja na mkewe na wanawe wawili wanakuja, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Yethro alikuwa ametuma ujumbe kwake Musa, kusema, “Mimi Yethro baba mkwe wako ninakuja kwako pamoja na mke wako na wanao wawili.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Yethro alikuwa ametuma ujumbe kwake Musa, kusema, “Mimi Yethro baba mkwe wako ninakuja kwako pamoja na mke wako na wanao wawili.” Tazama sura |