Kutoka 18:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Kisha Musa akaagana na mkwewe; naye akaenda zake, mpaka nchi yake mwenyewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Baada ya kufanya hivyo, Mose na mkwewe wakaagana naye Yethro akarudi nchini kwake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Baada ya kufanya hivyo, Mose na mkwewe wakaagana naye Yethro akarudi nchini kwake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Baada ya kufanya hivyo, Mose na mkwewe wakaagana naye Yethro akarudi nchini kwake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Kisha Musa akaagana na Yethro baba mkwe wake, naye akarudi kwa nchi yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Kisha Musa akaagana na Yethro baba mkwe wake, naye akarudi kwa nchi yake. Tazama sura |
Kisha hapo mtu huyo alipoinuka ili aende zake, yeye na suria wake, na mtumishi wake, huyo mkwewe, baba yake mwanamke, akamwambia, Tazama mchana wakaribia jioni, tafadhali kaa usiku kucha; tazama mchana wakaribia mwisho wake, lala hapa, ili moyo wako ufurahi; hata kesho uende zako asubuhi na mapema, ili upate kwenda kwenu.