Kutoka 18:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 nawe utawafundisha zile amri na sheria, nawe utawaonesha njia ambayo inawapasa kuiendea, na kazi ambayo inawapasa kuifanya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Hali kadhalika utawafundisha amri na maamuzi ya Mungu na kuwaonesha jinsi inavyowapasa kuishi na kufanya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Hali kadhalika utawafundisha amri na maamuzi ya Mungu na kuwaonesha jinsi inavyowapasa kuishi na kufanya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Hali kadhalika utawafundisha amri na maamuzi ya Mungu na kuwaonesha jinsi inavyowapasa kuishi na kufanya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Wafundishe hukumu na sheria zake, na uwaoneshe jinsi wanavyopaswa kuishi, na jinsi wanavyopaswa kuenenda. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Uwafundishe amri na sheria, tena uwaonyeshe namna ya kuishi na kazi zinazowapasa wao kufanya. Tazama sura |