Kutoka 16:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Musa akamwambia Haruni, Haya, sema na mkutano wote wa wana wa Israeli, Njoni karibu mbele ya BWANA; kwa kuwa yeye ameyasikia manung'uniko yenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Kisha Mose akamwambia Aroni, “Iambie jumuiya yote ya Waisraeli ikusanyike mbele ya Mwenyezi-Mungu kwani ameyasikia manunguniko yenu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Kisha Mose akamwambia Aroni, “Iambie jumuiya yote ya Waisraeli ikusanyike mbele ya Mwenyezi-Mungu kwani ameyasikia manunguniko yenu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Kisha Mose akamwambia Aroni, “Iambie jumuiya yote ya Waisraeli ikusanyike mbele ya Mwenyezi-Mungu kwani ameyasikia manung'uniko yenu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kisha Musa akamwambia Haruni, “Iambie jumuiya yote ya Waisraeli kwamba, ‘Mje mbele zake Mwenyezi Mungu, kwa maana amesikia manung’uniko yenu.’ ” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kisha Musa akamwambia Haruni, “Iambie jumuiya yote ya Waisraeli kwamba, ‘Mje mbele zake bwana, kwa maana amesikia manung’uniko yenu.’ ” Tazama sura |