Kutoka 16:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Ikawa siku ya saba wengine wakatoka kwenda kukiokota, wasikione. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Mnamo siku ya saba watu kadhaa walitoka kwenda kutafuta chakula, lakini hawakukipata. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Mnamo siku ya saba watu kadhaa walitoka kwenda kutafuta chakula, lakini hawakukipata. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Mnamo siku ya saba watu kadhaa walitoka kwenda kutafuta chakula, lakini hawakukipata. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Hata hivyo, baadhi ya watu wakatoka kwenda kukusanya siku ya saba, lakini hawakupata chochote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Hata hivyo, baadhi ya watu wakatoka kwenda kukusanya siku ya saba, lakini hawakupata chochote. Tazama sura |