Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 16:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

26 Siku sita mtaokota; lakini siku ya saba ni Sabato, siku hiyo hakitapatikana.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Kwa siku sita mtakuwa mkikusanya chakula hiki, lakini siku ya saba ambayo ni Sabato hakitakuwapo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Kwa siku sita mtakuwa mkikusanya chakula hiki, lakini siku ya saba ambayo ni Sabato hakitakuwapo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Kwa siku sita mtakuwa mkikusanya chakula hiki, lakini siku ya saba ambayo ni Sabato hakitakuwapo.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Kwa siku sita mtakusanya, lakini siku ya saba, yaani Sabato, hakutakuwa chochote.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Kwa siku sita mtakusanya, lakini siku ya saba, yaani Sabato, hakutakuwepo chochote.”

Tazama sura Nakili




Kutoka 16:26
6 Marejeleo ya Msalaba  

Musa akasema, Haya, kuleni hiki leo; kwa kuwa leo ni Sabato ya BWANA; leo hamtakiona nje barani.


Ikawa siku ya saba wengine wakatoka kwenda kukiokota, wasikione.


Bwana MUNGU asema hivi; Lango la ua wa ndani, lielekealo upande wa mashariki litafungwa siku sita za kazi; lakini siku ya sabato litafunguliwa, na siku ya mwezi mwandamo litafunguliwa.


Basi mkuu wa sinagogi alikasirika kwa sababu Yesu amemponya mtu siku ya sabato, akajibu, akawaambia mkutano, Kuna siku sita zifaazo kufanya kazi, basi njoni mponywe katika siku hizo, wala si katika siku ya sabato.


Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo