Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 16:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

25 Musa akasema, Haya, kuleni hiki leo; kwa kuwa leo ni Sabato ya BWANA; leo hamtakiona nje barani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Basi, Mose akawaambia, “Kuleni chakula hicho kilichosalia kwa sababu leo ni Sabato ya Mwenyezi-Mungu. Leo hamtapata chakula huko nje.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Basi, Mose akawaambia, “Kuleni chakula hicho kilichosalia kwa sababu leo ni Sabato ya Mwenyezi-Mungu. Leo hamtapata chakula huko nje.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Basi, Mose akawaambia, “Kuleni chakula hicho kilichosalia kwa sababu leo ni Sabato ya Mwenyezi-Mungu. Leo hamtapata chakula huko nje.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Musa akawaambia, “Kuleni leo, kwa sababu leo ni Sabato kwa Mwenyezi Mungu. Hamtapata chochote juu ya nchi leo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Musa akawaambia, “Kuleni leo, kwa sababu leo ni Sabato kwa bwana. Hamtapata chochote juu ya nchi leo.

Tazama sura Nakili




Kutoka 16:25
5 Marejeleo ya Msalaba  

ukawajulisha sabato yako takatifu, na ukawapa maagizo, na amri, na sheria, kwa mkono wa mtumishi wako, Musa.


Akawaambia, Ndilo neno alilonena BWANA Kesho ni starehe takatifu, Sabato takatifu kwa BWANA; okeni mtakachooka, na kutokosa mtakachotokosa; na hicho kitakachowasalia jiwekeeni kilindwe hata asubuhi.


Basi wakakiweka hata asubuhi, kama Musa alivyowaagiza; nacho hakikutoa uvundo wala kuingia mabuu.


Siku sita mtaokota; lakini siku ya saba ni Sabato, siku hiyo hakitapatikana.


Angalieni, kwa kuwa BWANA amewapa ninyi hiyo Sabato, kwa sababu hii huwapa siku ya sita chakula cha siku mbili; kaeni kila mtu mahali pake, mtu awaye yote asiondoke mahali pake kwa siku ya saba.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo