Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 16:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

19 Musa akawaambia, Mtu awaye yote asikisaze hata asubuhi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Mose akawaambia watu, “Mtu yeyote asibakize chakula hicho mpaka asubuhi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Mose akawaambia watu, “Mtu yeyote asibakize chakula hicho mpaka asubuhi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Mose akawaambia watu, “Mtu yeyote asibakize chakula hicho mpaka asubuhi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Kisha Musa akawaambia, “Mtu yeyote asibakize chochote hadi asubuhi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Kisha Musa akawaambia, “Mtu yeyote asibakize chochote mpaka asubuhi.”

Tazama sura Nakili




Kutoka 16:19
5 Marejeleo ya Msalaba  

Wala msisaze kitu chake chochote hata asubuhi, bali kitu kitakachosalia hata asubuhi mtakichoma kwa moto.


Lakini hawakumsikiza Musa; wengine miongoni mwao wakakisaza hata asubuhi, nacho kikaingia mabuu na kutoa uvundo; Musa akawakasirikia sana.


Akawaambia, Ndilo neno alilonena BWANA Kesho ni starehe takatifu, Sabato takatifu kwa BWANA; okeni mtakachooka, na kutokosa mtakachotokosa; na hicho kitakachowasalia jiwekeeni kilindwe hata asubuhi.


Usinitolee damu ya dhabihu zangu pamoja na mkate uliotiwa chachu, wala mafuta ya sikukuu yangu usiyaache kusalia hadi asubuhi.


Basi msisumbukie ya kesho; kwa kuwa kesho itajisumbukia yenyewe. Maovu ya siku yanaitosha siku hiyo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo