Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 16:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 Wana wa Israeli wakafanya hivyo, wakaokota wengine zaidi, wengine kupungua.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Basi, Waisraeli wakafanya hivyo, na ikawa kwamba, wengine waliokota kwa wingi na wengine kidogo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Basi, Waisraeli wakafanya hivyo, na ikawa kwamba, wengine waliokota kwa wingi na wengine kidogo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Basi, Waisraeli wakafanya hivyo, na ikawa kwamba, wengine waliokota kwa wingi na wengine kidogo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Waisraeli wakafanya kama walivyoambiwa; baadhi yao wakakusanya zaidi, wengine pungufu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Waisraeli wakafanya kama walivyoambiwa, baadhi yao wakakusanya zaidi, wengine pungufu.

Tazama sura Nakili




Kutoka 16:17
2 Marejeleo ya Msalaba  

Neno hili ndilo aliloagiza BWANA, Okoteni ninyi kitu hicho kila mtu kama ulaji wake ulivyo; kila mtu pishi moja kama hesabu ya watu wenu ilivyo; ndivyo mtakavyotwaa, kila mtu kwa ajili ya hao walioko hemani mwake.


Nao walipoipima kwa pishi, yeye aliyekuwa ameokota kingi hakubakiwa na kitu, na yeye aliyekuwa ameokota kichache hakupungukiwa; wakaokota kila mtu kama ulaji wake ulivyokuwa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo