Kutoka 16:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Na ulipokauka ule umande uliokuwa juu ya nchi, kumbe! Juu ya uso wa bara kitu kidogo kilichoviringana, kidogo kama barafu juu ya nchi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Umande huo ulipotoweka, kukabaki huko nyikani kitu kama mkate mwembamba na mwepesi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Umande huo ulipotoweka, kukabaki huko nyikani kitu kama mkate mwembamba na mwepesi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Umande huo ulipotoweka, kukabaki huko nyikani kitu kama mkate mwembamba na mwepesi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Umande ulipoondoka, vipande vidogo vidogo kama theluji vilionekana juu ya mchanga wa jangwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Wakati umande ulipoondoka, vipande vidogo vidogo kama theluji vilionekana juu ya uso wa jangwa. Tazama sura |