Kutoka 15:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Ulinyosha mkono wako wa kulia, Nchi ikawameza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Uliunyosha mkono wako wa kulia, nayo nchi ikawameza maadui zetu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Uliunyosha mkono wako wa kulia, nayo nchi ikawameza maadui zetu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Uliunyosha mkono wako wa kulia, nayo nchi ikawameza maadui zetu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 “Uliunyoosha mkono wako wa kuume na nchi ikawameza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Uliunyoosha mkono wako wa kuume na nchi ikawameza. Tazama sura |