Kutoka 15:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Ee BWANA, katika miungu ni nani aliye kama wewe? Ni nani aliye kama wewe, mtukufu katika utakatifu, Mwenye kuogopwa katika sifa zako, mfanya maajabu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 “Ewe Mwenyezi-Mungu, ni nani kati ya miungu anayelingana nawe? Ni nani aliye kama wewe uliye mtakatifu mkuu, utishaye kwa matendo matukufu, unayetenda mambo ya ajabu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 “Ewe Mwenyezi-Mungu, ni nani kati ya miungu anayelingana nawe? Ni nani aliye kama wewe uliye mtakatifu mkuu, utishaye kwa matendo matukufu, unayetenda mambo ya ajabu? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 “Ewe Mwenyezi-Mungu, ni nani kati ya miungu anayelingana nawe? Ni nani aliye kama wewe uliye mtakatifu mkuu, utishaye kwa matendo matukufu, unayetenda mambo ya ajabu? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Ni nani miongoni mwa miungu aliye kama wewe, Ee Mwenyezi Mungu? Ni nani kama Wewe: uliyetukuka katika utakatifu, utishaye katika utukufu, ukitenda maajabu? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 “Ni nani miongoni mwa miungu aliye kama wewe, Ee bwana? Ni nani kama Wewe: uliyetukuka katika utakatifu, utishaye katika utukufu, ukitenda maajabu? Tazama sura |