Kutoka 13:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Ninyi mwatoka leo katika mwezi wa Abibu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Siku hii, mwezi wa kwanza wa Abibu, mtaondoka nchini Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Siku hii, mwezi wa kwanza wa Abibu, mtaondoka nchini Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Siku hii, mwezi wa kwanza wa Abibu, mtaondoka nchini Misri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Leo, katika mwezi wa Abibu, mnatoka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Leo, katika mwezi wa Abibu, mnatoka. Tazama sura |