Kutoka 13:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Nao wakasafiri kutoka Sukothi, wakapiga kambi Ethamu, kwenye mpaka wa lile jangwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Basi, Waisraeli waliondoka Sukothi, wakapiga kambi huko Ethamu, ukingoni mwa jangwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Basi, Waisraeli waliondoka Sukothi, wakapiga kambi huko Ethamu, ukingoni mwa jangwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Basi, Waisraeli waliondoka Sukothi, wakapiga kambi huko Ethamu, ukingoni mwa jangwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Baada ya Waisraeli kuondoka Sukothi wakapiga kambi huko Ethamu pembeni mwa jangwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Baada ya Waisraeli kuondoka Sukothi wakapiga kambi huko Ethamu pembeni mwa jangwa. Tazama sura |