Kutoka 12:51 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC51 Ilikuwa siku ile ile moja, BWANA akawatoa wana wa Israeli katika nchi ya Misri kwa majeshi yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema51 Siku hiyohiyo Mwenyezi-Mungu aliwatoa Waisraeli nchini Misri kwa makundi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND51 Siku hiyohiyo Mwenyezi-Mungu aliwatoa Waisraeli nchini Misri kwa makundi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza51 Siku hiyohiyo Mwenyezi-Mungu aliwatoa Waisraeli nchini Misri kwa makundi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu51 Siku ile ile Mwenyezi Mungu akawatoa Waisraeli katika nchi ya Misri kwa vikosi vyao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu51 Siku ile ile bwana akawatoa Waisraeli katika nchi ya Misri kwa vikosi vyao. Tazama sura |