Kutoka 12:49 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC49 Sheria ni hiyo moja kwa mtu aliyezaliwa kwenu, na kwa mgeni akaaye kati yenu ugenini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema49 Sheria zilezile zitamhusu mzalendo Mwisraeli na wageni watakaoishi miongoni mwenu”. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND49 Sheria zilezile zitamhusu mzalendo Mwisraeli na wageni watakaoishi miongoni mwenu”. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza49 Sheria zilezile zitamhusu mzalendo Mwisraeli na wageni watakaoishi miongoni mwenu”. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu49 Sheria hiyo hiyo itamuhusu mzawa na mgeni anayeishi miongoni mwenu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu49 Sheria iyo hiyo itamuhusu mzawa na mgeni anayeishi miongoni mwenu.” Tazama sura |