Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kutoka 12:46 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

46 Na aliwe ndani ya nyumba moja; usiichukue nje ya nyumba nyama yake yoyote; wala msivunje mfupa wake uwao wote.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

46 Mwanakondoo wa Pasaka ataliwa katika nyumba moja. Hamtatoa nyama yoyote nje ya nyumba alimochinjiwa, wala hamtavunja hata mfupa mmoja wa mnyama wa Pasaka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

46 Mwanakondoo wa Pasaka ataliwa katika nyumba moja. Hamtatoa nyama yoyote nje ya nyumba alimochinjiwa, wala hamtavunja hata mfupa mmoja wa mnyama wa Pasaka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

46 Mwanakondoo wa Pasaka ataliwa katika nyumba moja. Hamtatoa nyama yoyote nje ya nyumba alimochinjiwa, wala hamtavunja hata mfupa mmoja wa mnyama wa Pasaka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

46 “Sharti iliwe ndani ya nyumba; msichukue nyama yoyote nje ya nyumba hiyo. Msiuvunje mfupa wowote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

46 “Sharti iliwe ndani ya nyumba; msichukue nyama yoyote nje ya nyumba hiyo. Msiuvunje mfupa wowote.

Tazama sura Nakili

Kutoka 12:46
7 Marejeleo ya Msalaba  

Huihifadhi mifupa yake yote, Usivunjike hata mmoja.

Uovu utamwua asiye haki, Nao wamchukiao mwenye haki watahukumiwa.

wasisaze kitu chake chochote hadi asubuhi, wala wasimvunje mfupa wake; kama hiyo sheria yote ya Pasaka ilivyo ndivyo watakavyoishika.

Lakini walipomjia Yesu na kuona ya kuwa amekwisha kufa, hawakumvunja miguu;

Kwa maana hayo yalitukia ili andiko litimie, Hapana mfupa wake utakaovunjwa.

Maana kama vile mwili ni mmoja, nao una viungo vingi, na viungo vyote vya mwili ule, navyo ni vingi, ni mwili mmoja; vivyo hivyo na Kristo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo