Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kutoka 12:45 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

45 Akaaye kwenu kama mgeni, na mtumishi aliyeajiriwa, wasimle Pasaka.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

45 Msafiri yeyote, wala kibarua yeyote, hatashiriki chakula hicho.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

45 Msafiri yeyote, wala kibarua yeyote, hatashiriki chakula hicho.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

45 Msafiri yeyote, wala kibarua yeyote, hatashiriki chakula hicho.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

45 lakini kibarua yeyote au msafiri haruhusiwi kula.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

45 lakini kibarua yeyote au msafiri haruhusiwi kula.

Tazama sura Nakili

Kutoka 12:45
3 Marejeleo ya Msalaba  

Wala hapana mwenyeji atakayesema, Mimi mgonjwa; watu wakaao humo watasamehewa uovu wao.

Mgeni yeyote asile katika kitu kitakatifu; mgeni wa kuhani akaaye kwake, au mtumishi aliyeajiriwa, asile katika kitu kitakatifu.

kwamba zamani zile mlikuwa hamna Kristo, mmefarakana na jamii ya Israeli, wageni wasio wa maagano ya ahadi ile. Mlikuwa hamna tumaini, hamna Mungu duniani.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo