Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Kutoka 12:44 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

44 lakini mtumishi wa mtu awaye yote aliyenunuliwa kwa fedha, ukiisha kumtahiri, ndipo hapo atamla Pasaka.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

44 Lakini mtumwa yeyote aliyenunuliwa kwa fedha, baada ya kumtahiri, ataruhusiwa kushiriki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

44 Lakini mtumwa yeyote aliyenunuliwa kwa fedha, baada ya kumtahiri, ataruhusiwa kushiriki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

44 Lakini mtumwa yeyote aliyenunuliwa kwa fedha, baada ya kumtahiri, ataruhusiwa kushiriki.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

44 Mtumwa yeyote ambaye mmemnunua aweza kuila kama mmemtahiri,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

44 Mtumwa yeyote ambaye mmemnunua aweza kuila kama mmemtahiri,

Tazama sura Nakili

Kutoka 12:44
3 Marejeleo ya Msalaba  

Abrahamu akamtwaa Ishmaeli mwanawe, na wote waliozaliwa nyumbani mwake, na wote walionunuliwa kwa fedha yake, wanaume wote wa watu wa nyumba ya Abrahamu, akawatahiri nyama ya magovi yao siku ile ile, kama Mungu alivyomwambia.

Lakini kuhani akinunua mtu yeyote kwa fedha zake, yeye atakula katika hicho; na hao waliozaliwa nyumbani mwake watakula katika chakula chake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo