Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 12:40 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

40 Muda ambao wana wa Israeli walikaa Misri, ulikuwa ni miaka mia nne na thelathini.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

40 Waisraeli walikuwa wameishi nchini Misri kwa muda wa miaka 430.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

40 Waisraeli walikuwa wameishi nchini Misri kwa muda wa miaka 430.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

40 Waisraeli walikuwa wameishi nchini Misri kwa muda wa miaka 430.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

40 Waisraeli waliishi Misri kwa muda wa miaka mia nne na thelathini (430).

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

40 Waisraeli walikuwa wameishi Misri kwa muda wa miaka 430.

Tazama sura Nakili




Kutoka 12:40
8 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA akamwambia Abramu, Ujue hakika ya kwamba uzao wako utakuwa mgeni katika nchi isiyo yake, watawatumikia watu wale, nao watateswa kwa muda wa miaka mia nne.


Na kizazi cha nne kitarudi hapa, maana uovu wa Waamori haujatimia bado.


Haya, basi, nitakutuma sasa kwa Farao, ili upate kuwatoa watu wangu, hao wana wa Israeli, katika Misri.


Mungu wa watu hawa Israeli aliwachagua baba zetu, akawatukuza watu hao, walipokuwa wakikaa kama wageni katika nchi ya Misri, na kwa mkono ulioinuliwa akawatoa, akawaongoza.


Mungu akanena hivi, ya kwamba wazawa wake watakuwa wageni katika nchi ya watu wengine, nao watawafanya kuwa watumwa wao, na kuwatenda mabaya kwa muda wa miaka mia nne.


Kwa imani alikaa ugenini katika ile nchi ya ahadi, kama katika nchi isiyo yake, akikaa katika hema pamoja na Isaka na Yakobo, warithi pamoja naye wa ahadi ile ile.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo