Kutoka 12:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC35 Wana wa Israeli wakafanya kama Musa alivyowaagiza; wakataka kwa Wamisri vyombo vya fedha na vyombo vya dhahabu, na mavazi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Waisraeli walikuwa wamekwisha fanya kama Mose alivyowaagiza hapo awali: Waliwaomba Wamisri wawapatie vito vya fedha, dhahabu na mavazi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Waisraeli walikuwa wamekwisha fanya kama Mose alivyowaagiza hapo awali: Waliwaomba Wamisri wawapatie vito vya fedha, dhahabu na mavazi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Waisraeli walikuwa wamekwisha fanya kama Mose alivyowaagiza hapo awali: waliwaomba Wamisri wawapatie vito vya fedha, dhahabu na mavazi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Waisraeli wakafanya kama Musa alivyowaelekeza, nao wakawaomba Wamisri wawapatie vitu vya fedha, dhahabu na mavazi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Waisraeli wakafanya kama Musa alivyowaelekeza, nao wakawaomba Wamisri wawapatie vitu vya fedha, dhahabu na nguo. Tazama sura |