Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Kutoka 12:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

25 Itakuwa hapo mtakapoifikia hiyo nchi, BWANA atakayowapa, kama alivyoahidi, ndipo mtakapoushika utumishi huu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Mtakapoingia katika nchi ile ambayo mimi Mwenyezi-Mungu nitawapa, kama nilivyoahidi, ni lazima kulitekeleza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Mtakapoingia katika nchi ile ambayo mimi Mwenyezi-Mungu nitawapa, kama nilivyoahidi, ni lazima kulitekeleza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Mtakapoingia katika nchi ile ambayo mimi Mwenyezi-Mungu nitawapa, kama nilivyoahidi, ni lazima kulitekeleza.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Mtakapoingia katika nchi Mwenyezi Mungu atakayowapa kama alivyoahidi, shikeni desturi hii.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Mtakapoingia katika nchi bwana atakayowapa kama alivyoahidi, shikeni desturi hii.

Tazama sura Nakili




Kutoka 12:25
11 Marejeleo ya Msalaba  

Nanyi mtalitunza jambo hili kuwa ni amri kwako na kwa wanao milele.


Kisha itakuwa, hapo watoto wenu watakapowauliza, Ni nini maana yake utumishi huu kwenu?


Kwa hiyo utaitunza amri hii kwa wakati wake mwaka baada ya mwaka.


Itakuwa hapo BWANA atakapowaleta mpaka nchi ya Wakanaani, na Wahiti, na Waamori, na Wahivi, na Wayebusi, nchi hiyo aliyowaapia baba zako kwamba atakupa wewe, ni nchi imiminikayo maziwa na asali, ndipo mtakapoushika utumishi huu katika mwezi huu.


Nami nimesema, Nitawapandisha kutoka katika mateso ya Misri na kuwaingiza katika nchi ya Mkanaani, na Mhiti, na Mwamori, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi, nchi ijaayo maziwa na asali.


nami nimeshuka ili niwaokoe kutoka kwa mikono ya Wamisri, niwapandishe kutoka nchi ile, hadi nchi njema, kisha pana; nchi itiririkayo maziwa na asali; hata mahali pa Mkanaani, na Mhiti, na Mwamori, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi.


Angalieni nimewafundisha amri na hukumu, vile vile kama BWANA, Mungu wangu, alivyoniamuru, ili mzitende katika nchi mwingiayo ili kuimiliki.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo