Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 12:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

10 Wala msisaze kitu chake chochote hata asubuhi, bali kitu kitakachosalia hata asubuhi mtakichoma kwa moto.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Hali kadhalika msibakize nyama yoyote mpaka asubuhi. Nyama yoyote itakayobaki hadi asubuhi mtaiteketeza motoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Hali kadhalika msibakize nyama yoyote mpaka asubuhi. Nyama yoyote itakayobaki hadi asubuhi mtaiteketeza motoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Hali kadhalika msibakize nyama yoyote mpaka asubuhi. Nyama yoyote itakayobaki hadi asubuhi mtaiteketeza motoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Msibakize nyama yoyote hadi asubuhi; nazo kama zitabakia hadi asubuhi, lazima mziteketeze kwa moto.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Msibakize nyama yoyote mpaka asubuhi; nazo kama zitabakia mpaka asubuhi, lazima mziteketeze kwa moto.

Tazama sura Nakili




Kutoka 12:10
9 Marejeleo ya Msalaba  

Musa akawaambia, Mtu awaye yote asikisaze hata asubuhi.


Usinitolee damu ya dhabihu zangu pamoja na mkate uliotiwa chachu, wala mafuta ya sikukuu yangu usiyaache kusalia hadi asubuhi.


Na kwamba kitu chochote cha ile nyama, iliyo kwa ajili ya kuweka kwa kazi takatifu, au chochote cha hiyo mikate, kikisalia hata asubuhi, ndipo utavichoma kwa moto hivyo vilivyosalia; havitaliwa, maana, ni vitu vitakatifu.


Usisongeze damu ya sadaka yangu pamoja na mkate uliotiwa chachu; wala hiyo sadaka ya sikukuu ya Pasaka haitasazwa hata asubuhi.


Italiwa siku iyo hiyo mliyoichinja, na siku ya pili yake; na kama kitu chochote katika sadaka hiyo kilisalia hata siku ya tatu kitachomwa moto.


Italiwa siku iyo hiyo; msisaze kitu chake hata asubuhi; mimi ndimi BWANA.


wasisaze kitu chake chochote hadi asubuhi, wala wasimvunje mfupa wake; kama hiyo sheria yote ya Pasaka ilivyo ndivyo watakavyoishika.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo