Kutoka 11:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Ndipo kutakuwa na kilio kikuu katika nchi yote ya Misri, ambacho mfano wake haujakuwa bado majira yoyote, wala hautakuwako mfano wake tena kabisa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Kutakuwa na kilio kikubwa kote nchini Misri, kilio ambacho hakijapata kutokea, wala hakitatokea tena. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Kutakuwa na kilio kikubwa kote nchini Misri, kilio ambacho hakijapata kutokea, wala hakitatokea tena. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Kutakuwa na kilio kikubwa kote nchini Misri, kilio ambacho hakijapata kutokea, wala hakitatokea tena. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Kutakuwa na kilio kikubwa katika nchi yote ya Misri, kilio ambacho hakijakuwa, wala kamwe hakitakuwa tena. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Patakuwepo kilio kikubwa katika nchi yote ya Misri, kilio kibaya ambacho hakijakuwepo wala kamwe hakitakuwepo tena. Tazama sura |