Kutoka 10:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Musa akasema, Umenena vema; mimi sitakuangalia uso wako tena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Mose naye akamwambia, “Sawa! Kama ulivyosema sitakuja kukuona tena.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Mose naye akamwambia, “Sawa! Kama ulivyosema sitakuja kukuona tena.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Mose naye akamwambia, “Sawa! Kama ulivyosema sitakuja kukuona tena.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Musa akamjibu, “Iwe kama ulivyosema! Kamwe sitauona uso wako tena.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Musa akamjibu, “Iwe kama ulivyosema! Kamwe sitauona uso wako tena.” Tazama sura |