Kutoka 10:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Basi sasa, nawasihi, nisameheni dhambi yangu mara hii moja tu, mkamwombe BWANA, Mungu wenu, aniondolee kifo hiki tu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Kwa hiyo sasa ninawasihi mnisamehe dhambi yangu, mara hii moja tu, mkaniombee kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aniondolee kifo hiki.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Kwa hiyo sasa ninawasihi mnisamehe dhambi yangu, mara hii moja tu, mkaniombee kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aniondolee kifo hiki.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Kwa hiyo sasa ninawasihi mnisamehe dhambi yangu, mara hii moja tu, mkaniombee kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aniondolee kifo hiki.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Sasa unisamehe dhambi yangu mara moja tena na umwombe Mwenyezi Mungu, Mungu wako, aondoe pigo hili baya kwangu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Sasa unisamehe dhambi yangu mara moja tena na umwombe bwana Mwenyezi Mungu wako aondoe pigo hili baya kwangu.” Tazama sura |