Kutoka 10:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Ndipo Farao akawaita Musa na Haruni haraka; akasema, Nimemfanyia dhambi BWANA, Mungu wenu na ninyi pia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Hapo Farao akawaita Mose na Aroni kwa haraka, akawaambia, “Nimetenda dhambi dhidi ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na dhidi yenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Hapo Farao akawaita Mose na Aroni kwa haraka, akawaambia, “Nimetenda dhambi dhidi ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na dhidi yenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Hapo Farao akawaita Mose na Aroni kwa haraka, akawaambia, “Nimetenda dhambi dhidi ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na dhidi yenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Farao akawaita Musa na Haruni kwa haraka na kuwaambia, “Nimetenda dhambi dhidi ya Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, na dhidi yenu pia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Farao akawaita Musa na Haruni kwa haraka na kuwaambia, “Nimetenda dhambi dhidi ya bwana Mwenyezi Mungu wenu na dhidi yenu pia. Tazama sura |