Kumbukumbu la Torati 9:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Wakumbuke watumishi wako, Abrahamu, na Isaka, na Yakobo; usiangalie ukaidi wa watu hawa, wala uovu wao, wala dhambi yao; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Wakumbuke watumishi wako, Abrahamu, Isaka na Yakobo, wala usiujali ukaidi, uovu na dhambi za watu hawa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Wakumbuke watumishi wako, Abrahamu, Isaka na Yakobo, wala usiujali ukaidi, uovu na dhambi za watu hawa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Wakumbuke watumishi wako, Abrahamu, Isaka na Yakobo, wala usiujali ukaidi, uovu na dhambi za watu hawa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Wakumbuke watumishi wako Ibrahimu, Isaka na Yakobo. Usiangalie ukaidi wa watu hawa, uovu wao wala dhambi yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Wakumbuke watumishi wako Ibrahimu, Isaka na Yakobo. Usiangalie ukaidi wa watu hawa, uovu wao wala dhambi yao. Tazama sura |