Kumbukumbu la Torati 9:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 BWANA akamkasirikia sana Haruni akataka kumwangamiza; nikamwombea Haruni naye wakati huo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Hali kadhalika, Mwenyezi-Mungu alikuwa amemkasirikia sana Aroni, kiasi cha kumwangamiza; hivyo, nikamwombea Aroni wakati huohuo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Hali kadhalika, Mwenyezi-Mungu alikuwa amemkasirikia sana Aroni, kiasi cha kumwangamiza; hivyo, nikamwombea Aroni wakati huohuo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Hali kadhalika, Mwenyezi-Mungu alikuwa amemkasirikia sana Aroni, kiasi cha kumwangamiza; hivyo, nikamwombea Aroni wakati huohuo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Lakini Mwenyezi Mungu alimkasirikia Haruni kiasi cha kutaka kumwangamiza, nami wakati huo nilimwombea Haruni pia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Bali yeye alimkasirikia Haruni kiasi cha kutaka kumwangamiza, nami wakati huo nilimwombea Haruni pia. Tazama sura |