Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 9:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

19 Kwa kuwa niliogopa hasira na makamio aliyowakasirikia BWANA kutaka kuwaangamiza. Lakini BWANA alinisikiza wakati huo nao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Niliogopa kwamba hasira na ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu dhidi yenu, ingewaangamiza; lakini Mwenyezi-Mungu alinisikiliza pia wakati huo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Niliogopa kwamba hasira na ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu dhidi yenu, ingewaangamiza; lakini Mwenyezi-Mungu alinisikiliza pia wakati huo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Niliogopa kwamba hasira na ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu dhidi yenu, ingewaangamiza; lakini Mwenyezi-Mungu alinisikiliza pia wakati huo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Niliogopa hasira na ghadhabu ya Mwenyezi Mungu, kwa kuwa aliwakasirikia ninyi sana na kutaka kuwaangamiza. Bali Mwenyezi Mungu alinisikiliza tena.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Niliogopa hasira na ghadhabu ya bwana, kwa kuwa aliwakasirikia vya kutosha na kutaka kuwaangamiza. Lakini bwana alinisikiliza tena.

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 9:19
19 Marejeleo ya Msalaba  

Walifanya ndama huko Horebu, Wakaisujudia sanamu ya kusubu.


Akasema ya kuwa atawaangamiza Kama Musa, mteule wake, asingalisimama, Mbele zake na kusimama palipobomoka, Ili aigeuze hasira yake asije akawaangamiza.


Mungu alisikia, akaghadhibika, Akamkataa Israeli kabisa.


Musa na Haruni walikuwa makuhani wake, Na Samweli pia ni miongoni mwa walioliitia jina lake, Walimlilia BWANA naye akawaitikia;


Na BWANA akaughairi ule uovu aliosema ya kwamba atawatenda watu wake.


BWANA akamwambia Musa, Nitafanya na neno hili ulilolinena, kwa maana umepata neema mbele zangu, nami nakujua jina lako.


Akasema, Tazama, nafanya agano; mbele ya watu wangu wote nitatenda miujiza, ya namna isiyotendeka katika dunia yote, wala katika taifa lolote; na watu wote ambao unakaa kati yao wataona kazi ya BWANA, kwa maana ni neno la kutisha nikutendalo.


Ndipo watu wakamlilia Musa; naye Musa akamwomba BWANA, na ule moto ukakoma.


Nikakaa mle mlimani kama hapo kwanza, siku arubaini usiku na mchana; BWANA akanisikiza wakati huo nao; BWANA asitake kukuangamiza.


hasira za BWANA zikawaka juu yenu, naye akafunga mbingu kusiwe na mvua, wala nchi isitoe matunda yake; mkaangamia kwa upesi mtoke katika nchi nzuri awapayo BWANA.


BWANA akamkasirikia sana Haruni akataka kumwangamiza; nikamwombea Haruni naye wakati huo.


Tena mlimkasirisha BWANA katika Horebu, BWANA akakasirika hadi akataka kuwaangamiza.


Na hayo yaliyoonekana jinsi yalivyokuwa ya kutisha, hata Musa akasema, Nimeshikwa na hofu na kutetemeka.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo