Kumbukumbu la Torati 9:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Nikazishika zile mbao mbili, nikazitupa kutoka katika mikono yangu miwili, nikazivunja mbele ya macho yenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Hivyo, nilivishika vile vibao viwili nikavitupa chini, nikavivunja mbele yenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Hivyo, nilivishika vile vibao viwili nikavitupa chini, nikavivunja mbele yenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Hivyo, nilivishika vile vibao viwili nikavitupa chini, nikavivunja mbele yenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Kwa hiyo nilichukua vile vibao viwili, nikavitupa na kuvipasua vipande vipande mbele ya macho yenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Kwa hiyo nilichukua vibao vile viwili nikavitupa na kuvipasua vipande vipande mbele ya macho yenu. Tazama sura |