Kumbukumbu la Torati 9:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Ikawa mwisho wa siku arubaini usiku na mchana, BWANA alinipa zile mbao mbili za mawe, nazo ni mbao za agano. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Naam, baada ya siku hizo arubaini, usiku na mchana, Mwenyezi-Mungu alinipa vibao hivyo viwili vya mawe ambavyo viliandikwa agano. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Naam, baada ya siku hizo arubaini, usiku na mchana, Mwenyezi-Mungu alinipa vibao hivyo viwili vya mawe ambavyo viliandikwa agano. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Naam, baada ya siku hizo arubaini, usiku na mchana, Mwenyezi-Mungu alinipa vibao hivyo viwili vya mawe ambavyo viliandikwa agano. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Mwisho wa siku arobaini usiku na mchana, Mwenyezi Mungu alinipa vibao viwili vya mawe, vile vibao vya agano. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Mwisho wa siku arobaini usiku na mchana, bwana alinipa mbao mbili za mawe, mbao za Agano. Tazama sura |