Kumbukumbu la Torati 9:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 BWANA akanipa vile vimbao viwili vya mawe vilivyoandikwa kwa kidole cha Mungu; na juu yake yameandikwa maneno mfano wa yote aliyosema nanyi BWANA mle mlimani kutoka kati ya moto siku ya mkutano. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Kisha Mwenyezi-Mungu alinipa vibao viwili vya mawe vilivyoandikwa kwa kidole chake Mungu; vilikuwa vimeandikwa maneno yote ambayo Mwenyezi-Mungu aliwaambieni mlimani kutoka kwenye moto siku ya mkutano. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Kisha Mwenyezi-Mungu alinipa vibao viwili vya mawe vilivyoandikwa kwa kidole chake Mungu; vilikuwa vimeandikwa maneno yote ambayo Mwenyezi-Mungu aliwaambieni mlimani kutoka kwenye moto siku ya mkutano. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Kisha Mwenyezi-Mungu alinipa vibao viwili vya mawe vilivyoandikwa kwa kidole chake Mungu; vilikuwa vimeandikwa maneno yote ambayo Mwenyezi-Mungu aliwaambieni mlimani kutoka kwenye moto siku ya mkutano. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Mwenyezi Mungu alinipa vibao viwili vya mawe vilivyoandikwa kwa kidole cha Mungu. Juu ya vibao hivyo kulikuwa amri zote Mwenyezi Mungu alizowatangazia kule mlimani kutoka kati ya moto siku ya kusanyiko. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 bwana alinipa mbao mbili za mawe zilizoandikwa kwa kidole cha Mungu. Juu ya mbao hizo kulikuwepo amri zote ambazo bwana aliwatangazia kule mlimani kwa njia ya moto, siku ya kusanyiko. Tazama sura |