Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 8:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

6 Nawe uzishike amri za BWANA, Mungu wako, upate kwenda katika njia zake, na kumcha.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Hivyo, shikeni amri za Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, mpate kuzifuata njia zake na kumcha yeye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Hivyo, shikeni amri za Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, mpate kuzifuata njia zake na kumcha yeye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Hivyo, shikeni amri za Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, mpate kuzifuata njia zake na kumcha yeye.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Shikeni maagizo ya Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, mtembee katika njia zake na kumheshimu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Shikeni maagizo ya bwana Mwenyezi Mungu wenu mtembee katika njia zake na kumheshimu.

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 8:6
9 Marejeleo ya Msalaba  

ili wakuche wewe, waziendee njia zako, siku zote watakazoishi katika nchi uliyowapa baba zetu.


Heri kila mtu amchaye BWANA, Aendaye katika njia yake.


nawe utawafundisha zile amri na sheria, nawe utawaonesha njia ambayo inawapasa kuiendea, na kazi ambayo inawapasa kuifanya.


Na wote wawili walikuwa wenye haki mbele za Mungu, wakiishi katika amri zote za Bwana na maagizo yake bila lawama.


Laiti wangekuwa na moyo kama huu ndani yao sikuzote, wa kunicha, na kushika amri zangu zote sikuzote, wapate kufanikiwa wao na watoto wao milele!


Endeni njia yote aliyowaagiza BWANA, Mungu wenu, mpate kuwa hai, na kufanikiwa, mkafanye siku zenu kuwa nyingi katika nchi mtakayoimiliki.


Nawe fikiri moyoni mwako, ya kuwa kama vile baba amrudivyo mwanawe, ndivyo BWANA, Mungu wako, akurudivyo.


Kwa kuwa BWANA, Mungu wako, anakuingiza katika nchi nzuri, nchi yenye vijito vya maji, na chemchemi, na visima, vibubujikavyo katika mabonde na milima;


Mcheni BWANA tu, mkamtumikie kwa kweli kwa mioyo yenu yote; maana, kumbukeni jinsi alivyowatendea mambo makuu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo