Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 8:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

4 Mavazi yako hayakuchakaa, wala mguu wako haukuvimba, miaka hiyo arubaini.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Wakati huo wa miaka arubaini nguo zenu hazikuchakaa, wala miguu yenu haikuvimba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Wakati huo wa miaka arubaini nguo zenu hazikuchakaa, wala miguu yenu haikuvimba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Wakati huo wa miaka arubaini nguo zenu hazikuchakaa, wala miguu yenu haikuvimba.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Nguo zenu hazikuchakaa wala miguu yenu haikuvimba kwa miaka hii arobaini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Nguo zenu hazikuchakaa wala miguu yenu haikuvimba kwa miaka hii arobaini.

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 8:4
6 Marejeleo ya Msalaba  

Naam, muda wa miaka arubaini uliwaruzuku jangwani, wasihitaji kitu; nguo zao hazikuchakaa, wala miguu yao haikuvimba.


Na wana wa Israeli walikula Mana muda wa miaka arubaini, hata walipofikia nchi iliyo na watu, wakala ile Mana, hata walipofikia mipakani mwa nchi ya Kanaani.


Kisha watoto wenu watakuwa wachungaji jangwani muda wa miaka arubaini nao watauchukua mzigo wa uasherati wenu, hadi maiti zenu zitakapoangamia jangwani.


Kwa kuwa BWANA, Mungu wako, amekubariki katika kazi yote ya mkono wako; amejua ulivyotembea katika jangwa kubwa hili; miaka arubaini hii alikuwa nawe BWANA, Mungu wako; hukukosa kitu.


Nami miaka arubaini nimewaongoza jangwani; nguo zenu hazikuchakaa juu yenu, wala kiatu chako hakikuchakaa katika mguu wako.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo