Kumbukumbu la Torati 8:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Nawe utakula ushibe, utamshukuru BWANA, Mungu wako, kwa nchi nzuri aliyokupa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Mtakula na kushiba, mtamshukuru Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa nchi nzuri aliyowapa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Mtakula na kushiba, mtamshukuru Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa nchi nzuri aliyowapa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Mtakula na kushiba, mtamshukuru Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa nchi nzuri aliyowapa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Mtakapokwisha kula na kushiba, msifuni Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, kwa ajili ya nchi nzuri aliyowapa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Wakati mtakapokwisha kula na kushiba, msifuni bwana Mwenyezi Mungu wenu kwa ajili ya nchi nzuri aliyowapa. Tazama sura |