Kumbukumbu la Torati 7:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Tena BWANA, Mungu wako, atampeleka mavu kati yao, hata hao watakaosalia, hao wajifichao, waangamie mbele zako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Zaidi ya hayo, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atapeleka mavu kati yao na kuwaangamiza wale ambao watawatoroka ili kujificha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Zaidi ya hayo, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atapeleka mavu kati yao na kuwaangamiza wale ambao watawatoroka ili kujificha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Zaidi ya hayo, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atapeleka mavu kati yao na kuwaangamiza wale ambao watawatoroka ili kujificha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Zaidi ya hayo, Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, atatuma nyigu miongoni mwao hadi yale mabaki watakaojificha waangamie. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Zaidi ya hayo, bwana Mwenyezi Mungu wenu atatuma manyigu miongoni mwao hadi yale mabaki watakaojificha waangamie. Tazama sura |