Kumbukumbu la Torati 7:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Utabarikiwa kuliko mataifa yote; hakutakuwa na mwanamume wala mwanamke aliye tasa kati yenu; wala kati ya wanyama wenu wa kufugwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Mtabarikiwa kuliko watu wengine wote ulimwenguni. Miongoni mwenu hakutakuwa na mwanamume wala mwanamke tasa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Mtabarikiwa kuliko watu wengine wote ulimwenguni. Miongoni mwenu hakutakuwa na mwanamume wala mwanamke tasa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Mtabarikiwa kuliko watu wengine wote ulimwenguni. Miongoni mwenu hakutakuwa na mwanamume wala mwanamke tasa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Mtabarikiwa kuliko mataifa mengine yote, hakuna wanaume wala wanawake kwenu watakaokosa watoto, wala mifugo yenu haitakuwa tasa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Mtabarikiwa kuliko mataifa mengine yote, hakuna wanaume wala wanawake kwenu watakaokosa watoto, wala mifugo yenu haitakuwa tasa. Tazama sura |